SupportSupport
Kadja Nin - Pure Music 4 - Mwana Wa Mama
Pure Music 4
01. Rose
02. Nelle paludi di venezia
03. Marco Polo
04. La vita è bella
05. The Song of the Rain
06. Indian Forest
07. Mwana Wa Mama
08. Vò lu mondu
09. Grand Jacques
10. Dosj Moeena
11. Palace of the Crystal Bridge
12. Naradie
13. Passion
14. Zor Kadın (feat. Voice Male)
15. Quan vey la lauzeta
16. Energy Flow
17. Yeroushalayim Shel Zahav
18. Gazelle
19. L'ombra della luce
20. This Love
We mwana wa mama
Tunapata haya
Mbele ya duniya wandugu
Kweli tumetubiya
Ju tumerudi ku uwana tena wandugu
Tabu ule utamwambiya nini?
Damu ya wake umemwanga bule

Waca liya
Usiwa ace vile
Uwambiye
Wambiye inchi ni ya siye wote

Mungu akijaliya
Mbele yo duniya
Tutapata namna wandugu
Ata ukiumiya
Jaribu tena ju fitina hayisayidiye
Tabu ule utamwambiya nini?
Ju ni damu ya wake umemwanga bule